wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Responded Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  2. LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu. ===================== Taarifa ya...
  3. LGE2024 Songwe: Ado Shaibu wa ACT Wazalendo atangaza kufuta uanachama viongozi wote wasaliti ndani ya chama hicho

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
  4. LGE2024 Katibu NEC Issa Gavu: Fanya kosa lolote CCM lakini si usaliti, hatutakusamehe

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la usaliti hatuna msalia Mtume. Ukitusalitu hatutakusamehe, hatutokusahau, tutakuchukulia hatua."...
  5. LGE2024 Wanachama wa CHADEMA Arusha waliodaiwa kupigana wamjibu Lema, "Lema amekuwa mtu wa sarakasi, anachukua watu vichochoroni"

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
  6. PreGE2025 RC Mtwara afanya ziara bandarini na vyama 15 vya siasa ili wakawaambie wanachama wao uwekezaji uliofanywa na serikali

    Wakuu, Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa. ==== Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024 anafanya ziara katika bandari ya Mtwara akiwa na Vyama 15 vya siasa. Akizungumza na waandishi wa...
  7. M

    Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  8. R

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu 2025 tutegemee wagombea wenye sifa kutoka CCM wakienguliwa na wasio na sifa wakipitishwa na kusimamiwa waende bunge bila kupigiwa kura;

    Chama cha siasa katika siasa za vyama vingi ujipima kukubalika kwake kwa kuruhusu wananchi kupiga kura Kwa hali ilivyo sana nchni ni wazi hakuna tena utaratibu wa kupata viongozi kupitia uchaguzi bali viongozi wa kisiasa wanateuliwa na tume ya uchaguzi au wasimamizi wa uchaguzi Ni vigumu...
  9. L

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
  10. Orodha yangu ya Wanachama bora wa Jamiiforums mpaka sasa

    Wakuu ! JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali. Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili...
  11. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  12. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  13. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  14. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  15. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  16. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  17. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  18. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  19. Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
  20. PreGE2025 LGE2024 Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…