wanachadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  2. Tlaatlaah

    Hivi CHADEMA imechokwa na wanaCHADEMA wenyewe kwa kukosa agenda na kupoteza uelekeo au ni kwa sababu uongozi wake mpya kukosa maono na dhamira njema?

    Ni wazi CHADEMA inaelekea kupotea kwanye medani ya siasa za Tanzania ikiwa katika hali ngumu, baya na dhaifu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa baada ya kukosa kabisa agenda hata moja ya kutetea mambo yanayohusu mahitaji ya kila siku ya wananchi bali kwa kujikita kuwatumia wanachi kutetea...
  3. Allen Kilewella

    Kuna watu ni watetezi wa wapalestina ila wanafurahi kupigwa Kwa wanachadema!

    Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu. Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
  4. Tauceti Rigel

    Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  5. 05CUBA

    PreGE2025 WanaCHADEMA wengi hawana kadi za kupigia kura au hawapigi kura kabisa

    To the point. Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA. Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
  6. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

    Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao? Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye...
  7. D

    Wanasiasa waliohama CHADEMA ni wengi sana; kwanini ni Zitto tu anayefuatwa kishari zaidi na wana CHADEMA

    Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
  8. chiembe

    Kwa sisi wanachadema ambao Lissu alipanga kutufukuza uanachama, tunasema la kumkuta limkute

    Lissu alipanga kunifukuza uanachama wa chadema kwa kosa dogo tu la kusema tushiriki uchaguzi. Akaagiza tawi langu liniandikie barua ya kujieleza. Kwa kweli la kumkuta limkute, ndivyo madikteta wanaishiaga hivyo kama Samuel Doe, Al-Bashir wa Sudan na Charles Taylor
  9. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa kwa G55 kushika hatamu ya uongozi CHADEMA baada ya Lissu kupoteza uelekeo na kukamatwa

    Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October. Na ndio maana unaona amekamatwa na polisi na hakuna mwanachadema anaeshtuka, anaesikitika wala kubabaika...
  10. A

    Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana

    Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama. Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama...
  11. Mganguzi

    Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  12. sonofobia

    PreGE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  13. B

    Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  14. Small letter

    WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hawa akina Wenje ndio watu ambao Mbowe anawategemea basi Wanachadema watakuwa wamepoteza

    Aiseeh! Uongo unasifa zake. Unakanuni zake. Uongo unahitaji watu wenye Akili kubwa ili kuufanya uaminike na uonekane ni KWELI. Sasa nimemsikiliza Wenje nikaishia kucheka tuu. Kama hawa ndio watu ambao Mbowe anawategemea na ndio nguzo itakayobaki ya CHADEMA Basi Wanachadema watakuwa wamepoteza...
  16. M

    Hivi kwa nini Mbowe huwa hapigi amshaamsha ya kutosha kuwadai wanachadema wanaotekwa na kupotezwa?

    Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho. Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji. Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

    Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu. Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
  18. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Mbowe badilika sasa, waambie wanaCHADEMA utawafanyia nini kipya ikiwa utachaguliwa tena

    Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa akijibu shutuma zinazomhusu na kujitetea kwanini anastahili kuendelea kukalia hicho kiti kwa miaka...
  19. thegreat1510

    Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  20. Erythrocyte

    PreGE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
Back
Top Bottom