wanachadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

    Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

    Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA mtaweza?

    Tunaona majilabu mengi sana kila unapokuchwa na hawa Chadema ,siku hizi wanasema CHADEMA DIGITAL, kila sehemu unasikia wananchi wengi wanahidhuria na kujiunga au kuitikia wito. Suali: Je, wanaweza kuitikia wito wa chama watakapohitajika kupinga zulma kwa hali na mali na uhai, tuseme Chadema...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu. My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

    Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wana CHADEMA wote!

    Kufuatia malumbano yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na madhaifu mengi ambayo tumeshayashuhudia kwenye chama kwa sasa, natoa wito kwa wana CHADEMA wote nchini kwamba wakati umefika tubadilishe uongozi wa juu wa chama. Kihistoria, CHADEMA kati ya mwaka 2005 na 2010, agenda zetu kwa...
Back
Top Bottom