wamiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa IST Dar wafikiwa

    Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti. Soma pia: Wanaosema ist sio gari...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ninacho kiona ni CCM kuamini wao ndio wamiliki wa Tanzania

    Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya wamiliki jengo la Kariakoo yapigwa Kalenda hadi Oktoba 9, 2025

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya waliokuwa wamiliki wa jengo la ghorofa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam lililoporomoka Novemba 16.2024 imeendelea leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu Godfrey Mhini leo, Alhamisi...
  5. JamiiForums Tanzania Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  6. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa bar tufungieni WiFi hata tatu

    Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa videos/reels ndo kila kitu.
  7. JamiiForums Tanzania Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba, je, ni nini ungependa kuona au unapendekeza kiwemo kwenye nyumba za kupangisha?

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji. Kwa mfano, ninafikiria...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

    Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo: 📌 Kanuni za...
  11. JamiiForums Tanzania Mameneja wa bar, wamiliki wa majiko DSM muna shida gani?

    SHALLOM. Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi. Ukipita Maeneo mengi wanayouzia KIfungua Kinywa kama Supu au mtori na n.k unakutana na Vituko sana...
  12. A

    JamiiForums Tanzania UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba. Kupata matukio...
  14. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi jiungeni mtengeneze Kampuni Kubwa ya Mabasi Tanzania

    Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional). NB: uswahili umezidi
  15. JamiiForums Tanzania Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

    Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto za monetization kwa wamiliki wa app

    Unamiliki app? Unafanyaje monetization? Changamoto gani unakutana nazo na unatatuaje?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  18. JamiiForums Tanzania Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

    Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Waliokosa dhamana ni...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Isamilo Kampuni ya mabasi ya usafirija ni jipu na kero kwa Abiria yalinikuta Dodoma

    Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…