Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama.
Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu
Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili
Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k.
wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
china
cuba
hai
hofu
kujiandaa
kutoka
kwasababu
marekani
muungano
nchi
nyerere
sababu
shinikizo
uhuru
uhuru wa zanzibar
urusi
ushawishi
vita
waingereza
wakati
wamarekani
wenzake
zanzibar
Hili taifa kwa sasa linaongozwa na watu ajabu ajabu sana, yani Trump na Tanzania wa Afya/bush dokta RFK Jr sasa hivi ndio wako mstari wa mbele kutoa elimu ya afya. Sasa hivi wamekuja na kituko eti kwamba paracetamol zikitumiwa na wajawazito watoto wanazaliwa na usonji(autism)!
GT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?
Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae...
Wamarekani hawapendi kuonekana wamefel watazua hata sababu za kijinga ili ionekane adui hajafanikiwa lakini ukija kwenye uhalisia ni kwamba US kapasuka.
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa
Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwa—matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa...
Nakumbuka mwaka 2017 nilipata nafasi fulani ya kwenda mahala kujifunza masuala ya ufugaji.Ilikua ni programe imeandaliwa na mahali pangu pa kazi.
Tulivyofika Kule singida tulikutana watu kutoka mikoa tofauti,siku ya kwanza ilikua ni maalumu kwa ajili ya shopping ya vifaa vya yale mafunzo ambayo...
Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma:
1. Wahindi wa Amerika
• Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi)
• Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi
• Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
Njoo Bongo, Kuna mapambio Kila siku , Si Wanawake Si Wanaume wa bongo walioko vyaman wao wameamua kua machawa Pro Max .
Na kweli bana,Uchawa Kwa Bongo unalipa.
Wao wana msemo wao ukitaka kutoka lazima umsifie aliyetoka.
Matokeo yake kuanzia majeshini, Mahakaman, Wizaran Bungeni ,Kila Mahali...
Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu...
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake
Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura
Trump amekuwa...
Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza kutumia app nyingine ya mchina inaitwa rednote ambayo ni kama mchanganyiko wa instagram, reddit na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.