Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani.
Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...