Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
1687460749785.png

Kampuni ya OceanGate inayohusika na huduma za uwezeshaji na ukodishaji wa Nyambizi (Submarine) kwaajili ya shughuli za wa utalii, viwanda, utafiti na ugunduzi imesema hadi sasa inaamini kuwa abiria waliokuwa ndani ya Titan wamepoteza maisha.

hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku 4 zimepita tangu kutowekwa kwa Nyambizi hiyo ilikuwa ikifanya Utalii katika eneo yalipo mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama mwaka 1912 na kuua zaidi ya watu 1,500.

Taarifa za wachunguzi pia zinaeleza kuwa hakuna matumaini ya kuweza kupatikana kwa miili ya abiria watano waliokuwemo ndani ya nyambizi ndogo ya Titan kwasababu kuna kila dalili Nyambizi ya Titan ililipuka ndani ya maji.

"Haya ni mazingira ya mabaya," anaongeza.


=====

OceanGate said Thursday that it believes the passengers of the Titanic-bound submersible have “sadly been lost,” according to a statement from the company.

“We now believe that our CEO Stockton Rush, Shahzada Dawood and his son Suleman Dawood, Hamish Harding, and Paul-Henri Nargeolet, have sadly been lost,” the company said in a statement.

“These men were true explorers who shared a distinct spirit of adventure, and a deep passion for exploring and protecting the world’s oceans,” according to the statement. “Our hearts are with these five souls and every member of their families during this tragic time. We grieve the loss of life and joy they brought to everyone they knew.”

The company added:

“This is an extremely sad time for our dedicated employees who are exhausted and grieving deeply over this loss. The entire OceanGate family is deeply grateful for the countless men and women from multiple organizations of the international community who expedited wide-ranging resources and have worked so very hard on this mission. We appreciate their commitment to finding these five explorers, and their days and nights of tireless work in support of our crew and their families.

This is a very sad time for the entire explorer community, and for each of the family members of those lost at sea. We respectfully ask that the privacy of these families be respected during this most painful time.”
 
Back
Top Bottom