Jioni, sebuleni kwenye nyumba ya kifahari. Baba anasoma ripoti. Anord anaingia kwa heshima.
ANORD:
(Anakohoa kidogo) Kama sio kuhusu gari lingine au pesa ya ziada
BABA (MKURUGENZI WA TAASISI):
(Bila kuangalia juu) Kama siyo kuhusu pesa au gari jingine, endelea.
ANORD:
(Anaketi) Siyo hilo. Ni...
Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini Matajiri (Watu waliofanikiwa) Hudhani Masikini ni Wavivu?”
Si Nasibu na Omari pekee ndio wamekuwa wakwanza...
Watu wengi hukosea kwa kuamini kuwa mtaji wa fedha ndio msingi wa kila biashara. Ukweli ni kwamba, biashara huanza na wazo bora, si pesa. Wazo sahihi lina uwezo wa kukuvutia wadau, kukuletea mitaji, na hata kuanza bila senti mkononi.
Wengi wamekopa ili waanze biashara, lakini kwa kukosa...
1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda
2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao.
3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
Katika mambo ambayo huwa sipendi na naelewa sana usiende kuomba msaada kwa nini yeye amefikia hapa.
Ni wachache sana watakao kupa ufikie labda sio biashara zinazo fanana.
Miaka ya nyuma sana kuna jamaa alikuwa anatuambia kwenda china lazima uwe na milioni 50 ila tulipokuja kugundua sababu...
MHADHARA (100)✍️
Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia.
Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama.
Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa...
Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika akisema."Mtu kuwa na matatizo ya kuona haina maana kwamba hawezi kuona matatizo tunayopaswa kuyatatua...
Wote tumedanganywa kwamba eti waliofanilikwa ni wavivu na wanapenda kurahisisha mambo ndo maana wamefanikiwa where ukweli ni vice versa waliofanikiwa ndo watu wanaopambana kupita kiasi
Point yangu ni nini
Put in more time than what will be required.
Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa
1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa)
2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta).
3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft.
4. Larry Page - Mwanzilishi...
Wakuu Habari zenu?
Kuna kitu hapa kwa wageni wahalikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa kumaliza chuo kikuu au shule hizi za secondary. Hivi ni kwa nini wasialikwe watu waliofanikiwa kimaisha ili waongee na wanafunzi hao na badala yake mnawaalika wanasiasa na wakuu wa mikoa kuja kutoa hotuba...
Habari zenu ndugu zangu.
Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa.
Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi.
Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani, yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa kuhusu rushwa inayotumika kutoka vyama hasimu nao, makamu mwenyekiti wao ameongoza vita ya kukataa...
Salam sio lazima!
Ndugu wanabodi,
Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
Maana yangu katika kufanikiwa:
Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira.
Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:
• Nilianza kuuza karanga za kupima.
• Nilianza kushona viatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.