walimu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  2. JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa. Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
  3. JamiiForums Tanzania Mradi wa Kijaluba iSAVE Zanzibar kuwawezesha Walimu wa Vikundi kusaidia kukuza uwezo wa watu wenye ulemavu Kiuchumi

    KATIKA kuhakikisha lengo la kushughulikia vikwazo vinavyowarudisha nyuma watu wenye ulemavu kiuchumi katika jamii Zanzibar, walimu wa vikundi na wawakilishi wa jumuiya za watu wenye ulemavu wametakiwa kufanya kazi kwa ukaribu na watu hao kupitia vikundi vya hisa ili kuwawezesha kujiinua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naona sasa Walimu akili zimeanza kuwakaa sawa

    Huko CWT hali siyo shwari. Ni juzi tu mdau mmoja kaleta Uzi juu ya manyanyaso ya vyama vya wafanyakazi Tanzania hasa CWT (Chama Cha Walimu Tanzania). Wadau wengi tulichangia sn hapa. Sasa kumbe ni km tulitia petrol kwenye moto. Leo naamka nakutana na gazeti la NIPASHE likiwa na habari ya Walimu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Acheni walimu wapate hivyo vipesa vidogo, acheni kulalamika tumewachoka

    Unafikiri michango yenyewe ni pesa nyingi ni fikira za ujamaa ndo zinazowasumbua, na michango yenyewe husaidia watoto lakini wana lalamika unadhani wana lipa laki hawajazoea kusomesha. 1. Mitihani ijuuma 500@ kwa kila mtihani. 2. Shilling 300 za uji kila siku. 3. Mchango wa 1000 kwa study...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Sasa ni kawaida. Kila siku watoto wanakuja wanadai hela eti kuna mtihani. Kila siku kuna mtihani. Enough is enough.
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi vyao

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

    Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili! Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu eti net pay ya tgts g ni ngapi baada ya makato yote ya lazima?

    Walimu msaada kidogo hapa mwalimu anayepokea mshahara wa tgts g anaongezewa tsh ngapi toka daraja f ukitoa paye nhif cwt? Ile cash amount inayoingia kama hela kamili ni kiasi gani?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameomba uwepo wa majukwaa ya mara kwa mara yatakayolenga kutoa elimu ya utambuzi wa Taasisi sahihi za kifedha zinazotoa huduma za mikopo, ili waweze kujiepusha na Taasisi ambazo zimekuwa zikiwakopesha mikopo yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  12. JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    JPM alikuwa nabii Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  14. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijali?

    Habari wana JF, Napenda nielewe kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijari hasa kwenye suala la mavazi. Walimu wangu wa O-level wala hawakuwa na mda wa nguo nzuri kama walimu wa masomo mengine, A-level Sasa mda wao mwingi wako maabara, chuo kikuu ndo usiseme utadhani hawana...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  17. JamiiForums Tanzania Mei Mosi ni siku ya walimu duniani au wafanyakazi?

    Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote. Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  19. JamiiForums Tanzania Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

    Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi. Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu. Chakula hakina ubora. Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
  20. JamiiForums Tanzania Tshirt za walimu zina label ya keep away from fire!

    Kwenye kipindi kama hiki ndio namkumbuka sana @mpwayunguvillage hasa kuhusu walimu. 😃 mwenyw aina nyingine ya tshirt za watu wazima zenye label ya keep away from fire atume ili tulinganishhe ubora
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…