walimu

  1. JamiiForums Tanzania Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

    Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN) Wafamasia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu AJIRA mpya halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
  3. JamiiForums Tanzania Walimu 56 wakihama chama cha CWT Kilindi Tanga

    Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri. "Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari...
  4. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa muda (Part-Timer) – Chuo cha UDOM, mwezi wa 5 sasa tunasotea malipo yetu

    Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine). Wengi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tumelipwa 280,000 kati ya Laki 9.5

    Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kupunguzwa au kucheleweshwa kwa sehemu iliyobaki ya fedha hizo. Kinachotushangaza zaidi ni kwamba...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umoja wa Walimu wasio na ajira (NETO) tumewasilisha taarifa kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu ya changamoto

    Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO) uliwasilisha taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili. Katika kikao chetu cha tarehe 12 Machi 2025, tulishangazwa kuona baadhi ya vyombo vya habari...
  8. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Walimu wa shule binafsi Wilaya ya Ngara hatuteuliwi kusimamia mitihani ya NECTA tangu 2021?

    Tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kuhusu uteuzi wa walimu wa shule binafsi kusimamia mitihani ya NECTA. Kabla ya mwaka 2021, walimu wa shule binafsi walikuwa wakiteuliwa kushiriki katika usimamizi wa mitihani ya NECTA. Hata hivyo, tangu mwaka 2021 hadi sasa, walimu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana. Nilichojilaumu ni mimi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Bariadi Vijijini hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuajiriwe mwaka 2025

    Habari za muda huu, JF. Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025. Tumejaribu kufuatilia suala hili...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Kwimba wamelipwa fedha za kujikimu, mbona Walimu wa ajira mpya bado?

    Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu. Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo? Tunaomba mamlaka husika...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa 2022 hatujapandishwa madaraja, wengine tayari

    Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Una mpango wa kurudi kuwasalimia Walimu wako wa Primary na Sekondari au ndiyo basi ishapita NO shobo tena?

    kila mtu anajua hili kuna walimu walituvumilia sana mpaka tukafika hapa tulipo leo. Lakini wengi wetu tukishamaliza shule hatukanyagi tena hata kwenda kusema Asante mwalimu. Je, wewe una mpango wa siku moja kurudi kuwasalimia walimu wako wa primary na sekondari, au unaona muda umeshapita na...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  16. JamiiForums Tanzania KUBADILISHANA WALIMU VITUO VYA KAZI MSINGI

    Ndugu Admin, Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho. Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa CWT wasubiri uamuzi wa mahakama

    VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi inayowakabili. Waliosimamishwa ni aliyekuwa Rais wa CWT, Leah Ulaya, Rais Dkt. Suleiman Ikomba, Maganga...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Tunafanya kazi katika mazingira magumu, hakuna usawa, tunabaguliwa, hatupewi stahiki zetu

    Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu. Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026: Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna kundi la waajiriwa wa serikali linalonyanyaswa na kuonewa kama walimu. Siku wakisanuka, CCM bye bye

    Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi. Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira Mpya 2026 tunahitaji Haki sawa ya Malipo ya Fedha za Kujikimu

    Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI. Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…