walimu wa kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanu Ameir: Halmashauri ziendelee kutenga fedha kuwalipa Walimu wa Kujitolea

    Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, kuhusu mkakati wa serikali juu ya malipo kwa Walimu wanaojitolea ili walau waweze kukidhi mahitaji yao. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, amesema kuwa, kwa mujibu wa ufafanuzi wa awali uliotolewa na Waziri Mkuu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au mkataba shule ya msingi kupitia mradi gpe ambao tuliletwa na Tamisemi, tupo nchi nzima mpaka sasa hatujalipwa

    Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Walimu wa kujitolea Shule za Msingi, Sekondari - Morogoro waboreshewe maslahi, malipo hayaendani na hali halisi ya sasa

    Licha ya mahitaji makubwa ya walimu kwa Shule za Msingi na Sekondari, bado walimu wanaojitolea wanaishi maisha magumu, kwa kukosa posho na wengine wakiambulia kulipwa Sh 100,000 kwa mwezi. Takwimu za BEST (Basic Education Statistics Tanzania) zinaonesha Tanzania inakabiliwa na uhaba mkubwa wa...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kondoa Girls High School waalimu wa field wamegeuka walinzi wa shule, usiku kucha hawalali

    Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
  5. Nautical Miles

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujitolea Nursery school au Daycare niweze kupata recommendation letter yaku apply Viza Ujerumani

    Wakuu salaam, Awali ya yote nawashukuru wana Jamii forums wote kwa michango yenu na mawazo yenu yakinifu yanayo toa elimu, ushauri na msaada mkubwa sana kwa jamii. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita (High school). Baada ya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Programu ya Walimu wa Kujitolea ya Ndani (Local Volunteer Teacher Program)

    Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa kufundisha ili kujitolea kama walimu kwa muda maalum katika shule za msingi na sekondari...
  7. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini walimu wa kujitolea wananyanyaswa mno na walimu wajiriwa hasa kwenye shule za serikali?

    Japo sio shule zote ila shule nyingi hakuna mwalimu anayedhalauliwa na kunyanyasika kama mwalimu wa kujitolea sio na walimu hata wanafunzi pia baadhi ya wanafunzi wakijua mwalimu wa kujitolea huwa wanamdharau. Tukianzia swala la malipo unakuta wazazi wanachanga buku buku kwa ajiri ya walimu wa...
Back
Top Bottom