walimu

  1. C

    dodoma jiji walimu tuliokidhi vigezo tunatakiwa kuto rushwa ili tuthibitishwe kazini

    tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
  2. T

    Walimu tusisahsu usaili.(History,kswa, English,geog )

    Jiandaeni na usaili not selected for oral interview inauma! See you next week
  3. T

    Walimu wa English na kiswahili msisahau wiki ijayo usaili unaanza

    Jiandaeni na usaili not selected for oral interview inauma!
  4. C

    mamlaka fuatililieni walimu ajira ya 2025 dodoma wanahitajika kutoa rushwa ili wathibitishwe kazini

    walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini . ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini wanatumia...
  5. Roving Journalist

    Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  6. M

    Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  7. idiomer

    Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

    Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
  8. instinct desire

    Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  9. A

    KERO Tume ya Utumishi wa Walimu isaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies kwa Shule za Sekondari

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  10. A

    KERO Mkurugenzi wa Mbinga DC ananyanyasa Walimu

    Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila kuzingatia utaratibu rasmi wa kiutumishi! Mfano mzuri ni Ijumaa ya Tarehe 27/02/2026 aliwaita walimu...
  11. A

    KERO Somo la BUSINESS STUDIES lina upungufu mkubwa wa Walimu

    Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari. Katika mtaala huu mpya somo la BUSINESS STUDIES limekuwa ni somo la lazima kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne...
  12. T

    Kwa walimu wa somo la historia ya Tanzania na maadili chukua izo notis zitakusaidia

    Ukihutaji notsi zaidi kwa kidsto Cha pili historia ya Tz,English na kswa mtaala mpya tuwasiliane kwa 0623446608
  13. idiomer

    Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  14. idiomer

    Kwanini walimu wanalipwa kama vibarua??? Walipwe perdiem sheria zinadilishwe.

    Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe??? Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
  15. Munch wa Annabelle

    Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  16. robbyr

    Ushauri wa kuboresha mfumo wa semina kwa walimu kwa kutumia teknolojia ya mtandao (online) na video

    Ninashauri Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuachana na mfumo wa zamani wa kutoa semina kwa kukutana ana kwa ana (physical workshops), ambao unatumia gharama kubwa za usafiri, malazi, na muda, na badala yake kuhamia kwenye mfumo wa kisasa wa kidijitali. Mapungufu ya Mfumo wa Sasa: * Gharama...
  17. A

    KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  18. A

    KERO Baadhi ya Walimu wa UDOM wanafelisha Wanafunzi makusudi!

    Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe. Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani. Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna...
  19. M

    Mwigulu: Serikali imeajiri walimu 7,000 ndani ya siku 100 alizosema Rais Samia

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000...
  20. Mpwayungu Village

    Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

    Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit. Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa...
Back
Top Bottom