wakurya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Watu wanne watuhumiwa kuiba Ambulance Musoma

    Gyntomcine popote ulipo jitokeze uwasemehe wakurya walio Ina ambulance huko musoma mara --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za wizi wa gari la kubebea wagongwa (Ambulance) la Hospitali ya Manispaa ya Musoma. Taarifa ya tukio hilo ilitolewa na...
  2. ELI COHEN

    Kumbe wakurya ni wababe kwa wake zao pekee

    Where is the spirit abhamuraaa!!! 🚮🚮🚮
  3. ELI COHEN

    Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  4. Knock life

    Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  5. Think2

    Wanawake wa kikurya ni nomaa

    Wewe kama ni kabila tofauti na wakurya sikushauri uoe mwanamke wa kikurya sababu ni hizi ◇ wengi wao ni wababe sana ugomvi hauwezi kuisha ◇ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali 😁 ◇ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana ◇ Wanaviburi vya asili sana ◇ ugomvi kidogo wanakimbilia...
  6. kyagata

    Hivi kumbe wachaga wa machame na marangu na wakurya ni ndugu?

    Makabila ya Mara ni mengi kuliko mikoa yote ya Tanzania, kama vile Waluo, Wajita, Waruri, Wazanaki, Wakuria, Wakabwa, Wakiroba, Wasimbiti, Wangoreme, Wakwaya, Waikoma, Wanata, Waisenye, Waikizu, Wasizaki, Wasukuma, Wataturu na makabila madogo kama Wanandi, Wakisii au Wamaragori. Kuna jumla ya...
  7. ELI COHEN

    Ila Wakurya

  8. Lycaon pictus

    Hadithi fupi: Hadithi ya Wakurya wa Tanganyika

    Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
  9. ELI COHEN

    Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

    Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
  10. Mallerina

    Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

    Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila...
  11. technically

    Wakurya Shikamooni

    Hawa jamaa ni majasiri Sana unakumbuka zile kelele za nishati Safi. Sasa Kuna maliasili na polisi walijichanganya wakaingia anga za wakurya wanaojishughulisha na biashara ya mkaa kwenye ili pori la kuelekea kisarawe pale. Aisee walichokutana nacho hawatokaa warudi tena kwenye lile pori. Yaani...
  12. U

    Je Kuna tofauti baina ya makabila ya Wakisii na Wakurya?

    Wadau hamjamboni nyote? Makabila mawili ya Wakisii na Wakurya Je ipi tofauti baina yao? Aksanteni
  13. ELI COHEN

    Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

  14. matunduizi

    Kwanini hizi mila za kutembea na silaha (wamasai na wakurya) zisiwe halali maporini na sio mijini?

    Makabila haya mawili licha ya uzuri wao huws yanakitu kinaitwa Mori. Ukiwachokoza nje ya uvumilivu wao wanapanda mori wanakuwa kama wanyama. Akili zinakuwa hazipo anafanya chochote. Kwa bahati mbaya licha ya kuwa na sifa hii hatarishi ambayo makabira mengine mengi hayana bado ndio wanaoongoza...
  15. sky soldier

    Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

    Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu, Watu wengi wanakoseaga kudhani kwamba wazanaki ni kabila moja na wakurya sababu wote wana mfanano wa lugha, hili ni kosa! hapa nchini tunaongea wote kiswahili lakini ni makabila...
  16. M

    Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

    It is very painful ===== Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyangoto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi usiku akirejea nyumbani. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa...
  17. kyagata

    Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  18. Perry

    Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

    Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya? Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to...
  19. Perry

    Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Anyone yuko familiar with kuryans?
  20. Jitu jeusi

    Historia ya kabila la Wakurya

    Je Wajua? KABILA LA WAKURYA Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005...
Back
Top Bottom