wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kupanda kwa bei ya vyakula kumezaa tabaka la wakulima na wananchi?

    Nimeona katika mijadala yetu kuhusiana na kupanda kwa bei ya vyakula kumezaa tabaka la wakulima (ambalo halitajwi wala kuonewa huruma) na la wananchi (ambalo linatajwa na kuonewa huruma). Ningependa kuchangia kwa kusema na kumbusha kuwa, hakuna namna yoyote ya kupata chakula bila kulima kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bashe: Wananchi acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp

    Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja "Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
  3. F

    JamiiForums Tanzania DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

    Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili. Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba?

    kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
  5. M

    JamiiForums Tanzania vip kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba

    kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe atishia kufuta leseni za Viwanda vya Chai visivyolipa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza viwanda vya chai kulipa madeni ya wakulima vinginevyo atavifutia leseni. Amesema haiwezekani wakulima waliopeleka chai kwenye viwanda vyao tangu Agosti, 2022 bado hawajalipwa malipo yao jambo ambalo sio sahihi. Bashe amesema hayo jana Januari 18 wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Wakulima hutumia 24% ya kipato chao kununua GB 5 za data

    Hali ni mbaya kwa ununuzi wa data kwa wakulima. Kwa takwimu za NBS za 2020 wakulima wanapata kwa wastani Tsh. 169,377 kwa mwezi. Wastani wa fedha wanazopata wanawake ni ndogo zaidi kuliko wanaume ambapo wanawake huingiza kwa wastani Tsh. 124,479 na wastani wa wanaume ni Tsh. 195,617. Kwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia, Mchumi aliyehitajika kukinusuru kilimo na kuwafuta machozi wakulima

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa ketu ambapo kilimo pekee kimeweza kutoa ajira kwa 70%. Kilimo ni biashara kwa sababu mkulima anaweza kuuza mazao anayolima kibiashara na kumtengenezea kipato. Na zaidi kilimo kinachangia 27% katika Pato la taifa. Kwa kipindi kirefu kilimo kimeshindwa kwa namna...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kuwainua kiuchumi wakulima, umeliinua taifa kwa kuwainua wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Asilimia kubwa ya watanzania Ni wakulima waliojiajiri katika kilimo, wanao tegemea kilimo kuendesha maisha yao, wanaojenga na kununua sare za shule kwa sababu ya kilimo, wanao fungua miradi kwa sababu ya kilimo, wanao nunua magari kwa sababu ya kilimo, wanaojenga nyumba...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanufaika na masoko ya nje

    Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kukifanya kilimo kuwa biashara upatikanaji wa masoko ya kuuza mazao nje ya nchi umeongezeka. Mauzo ya mazao ya mchele yameongezeka kutoka Tan 184,521 zenye thamani ya Bilioni 176.4 mwaka 2020 hadi Tan 441,908 hadi tani zenye thamani ya Bilioni 476.8...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mama Samia ndio kipindi cha Wakulima wa Mazao ya Nafaka kutoka kimaisha

    Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi. Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Wakulima Mbeya walia uhaba mbolea ya ruzuku

    Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku. Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  14. JamiiForums Tanzania RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

    Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa. Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

    Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda. Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
  16. E

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Warioba: Siyo wakulima pekee wenye matatizo bali hata wafugaji na machinga nalo hilo ni janga!

    Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo. Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Wakulima ni lazima muwafanye Watawala wawaheshimu, msikubali kuburuzwa na Wanyonyaji wachache

    Najiuliza Huyu Dkt. Bashiru ni mjamaa? Maana wajamaa ndio hupenda kutumia hili Neno Wanyonyaji Wakati wa Nyerere tuliimba "Mabepari walia kukatiwa mirija ya unyonyaji walipotangaziwa Azimio la Arusha" Dkt. Bashiru amesema Wakulima ndio wanawalisha Watawala hivyo ni lazima wawafanye wawaheshimu...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally, wakulima wamemuelewa Rais Samia acha wamsifie anaupiga mwingi, chuki ya nini?

    DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI? DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…