wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiona umepewa kiti kwenye meza ya wakubwa, jifikirie mara mbili

    Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu. Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU. Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
  2. R

    Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  3. A

    Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa Nimeweka hakiba...
  4. Benki ya CRDB yaingiza dola 150 milioni kuwakopesha wateja wakubwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani milioni 150 uliowezeshwa na Benki ya Intesa Saopaulo na Benki ya Investec. Wa kwanza kulia ni...
  5. Z

    Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
  6. Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika. Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
  7. Marafiki ndio maadui zako wakubwa

    Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip. Kwa hiyo mlio na marafiki...
  8. Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  9. Thamani ya Tsh kwa sasa, nini kifanyike?

    Thamani ya Tsh kwa sasa, nani amechangia kwa kiasi kikubwa, vita vya wakubwa au sisi wenyewe?
  10. Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  11. Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

    Bandiko liko Instagram
  12. R

    Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
  13. Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
  14. Aloyce Nyanda wa Star TV huenda akafutwa kazi kwa shinikizo la wakubwa

    Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa." Nukuu ya chanzo; Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha...
  15. Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

    Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao. Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote. Kudai kuwa hawa...
  16. I

    Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  17. Bara la Afrika, Maajabu Makubwa ya Viongozi na Watu wao

    Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi. Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
  18. Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  19. Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…