wakristo

  1. Israeli ni Wakristo waliozaliwa mara ya pili, sio wale jamaa pale Middle East

    Wagalatia 3:28 ,29 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi. Ni hayo tu. Mfano mimi sio mmatumbi kimsingi ni...
  2. Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  3. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  4. Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

    Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople. Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
  5. Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  6. G

    Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  7. G

    Wajue Wayahudi wa Haredi: wanatemea mate Wakristo, wanapinga uwepo wa taifa la Israel, hujitenga na wayahudi wengine, hutegemea misaada kujikimu

    Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na wayahudi wote wapo hivyo, LA HASHA !! Ni jamii ya wayahudi wa Heredi, Kwa idadi yao kuna myahudi wa...
  8. I

    Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

    Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇 Wakristo wa kusini-magharibi mwa Arabia, na hasa katika Aden, mji wa bandari ulioko Yemen, wana historia yenye mizizi...
  9. A

    Wakristo na Miujiza

    Amani iwe nanyi. Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea. Katika Biblia takatifu MUNGU amesisitiza sana kufanya kazi, lakini unashangaa Kuona wakristo wengi leo hii...
  10. Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

    Habarini Wadau, Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe, Miongoni mwa...
  11. Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  12. Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  13. T

    Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

    Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini. Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
  14. Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

    Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
  15. Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
  16. Nini Sababu Wasio Wakristo Kujaza Kwenye Ibada za Kilokole?

    Nimekuwa nikitazama sana vipindi vya kimahubili luningani hasa vya wale wachungaji wakubwa mno kama Vile Much Mwamposa wa Arise&Shine TV, Kuhani Mussa Richard wa JehovaJireTV nakadhalika. Katika nyakati za kutoa ushuhuda wa Yale waliyotendewa na Mungu, iwe uponyaji au kufunguliwa kutoka katika...
  17. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

    Wanabodi, Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja. Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam...
  18. M

    Kwanini Wahalifu wengine waitwe Magaidi na wengine waitwe Waasi?

    Dunia na Mikanganyiko yake! Hayo makundi yote yanafanya uhalifu sawa sawa katika nchi zao, makundi mengi hayazitambui serikali za nchi zao. Nini sababu kubwa ya makundi hayo kwenye nchi za waislamu kuitwa magaidi na sheria kali kutungwa dhidi yao, kwa mfano Somalia, Yemen, CAR, Mali na...
  19. S

    Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

    Wanawake wa kikristo shida ipo wapi?
  20. R

    Wahubiri wakristo acheni kudhalilisha jina la Yesu

    Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi li siyo jina la kutamka hovyohovyo. Unakemea sijui pepo sijui laana nusu saa nzima unataja jina la Yesu. Kwa jina la Yesu, kwa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…