UZALENDO SI NINI?
Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa hili. Bado wanao au hawana, lakini neno UZALENDO lilikuwa ni tunu ya TANU na CCM: Havikuachana.
Neno...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
Kosa kubwa la Wakosoaji na Wapinzani wanalofanya ni kujaribu kuua nchi ya Tanzania na sii kuitunza kwa kigezo cha ukosoaji
Kumbukeni kuwa nchi ya Tanzania haina tofauti na ziwa la mama zenu waliowazaa
Mtakapojaribu kuua ziwa la mama zenu Tanzania nanyi mtakufa pia
Tanzania ndiyo nchi...
Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea.
Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele!
Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
Je, wakosoaji wa Serikali ya Tanzania ni Demagogues au Reformers?
Wakosoaji aina ya Demagogues huwa wanazungumza mabaya ya Serikali kadiri wawezavyo lakini dhamira yao kubwa ni kupata Umaarufu na nafasi za Madaraka na sio kutoa suluhisho la matatizo baada ya kupata nafasi za Madaraka
Reformers...
Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake.
Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
Ninawaza mwenyewe tu. Ninatafakari peke yangu.
Kwamba huu ni ushauri wa nani? Na alitarajia matokeo gani? Kwamba watanzania wote WATAKAA kimya kwa woga?? Ni kama naona dalili ya wanaotishwa kugoma kukaa kimya!
Ni muda wa kujisahihisha na kurudi kwenye Mstari sahihi.
Akili ya kuambiwa..... La...
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok
====
Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu.
Kiongozi siyo tu...
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.
Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical psychology na political behavior analysis. Kitendo cha kuwatishia, kuwakamata au hata kuwapoteza raia kwa...
Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali.
Sikiliza video yake hapo chini
Inawezekana kabisa shida ya viongozi wetu walivyo, kwao kukosolewa ni sawa na kunyofolewa ngozi na ama kiungo kimojawapo cha mwili na au kujihisi wanakosa akili pindi wanapokosolewa
Kumbe akili zao zipo palepale na ngozi au viungo vyao vipo pale pale
Lakini kwa nini inawauma hivyo hadi kufikia...
Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya.
Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli
Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake.
Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.