Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ?
Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu.
Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi...