Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 970
- 1,941
Eti Amani !! amani, amani!!! Hii Tanzania kuna amani au kisiwa cha uvumilivu??? CCM ilipo sasa, kwa udhalimu wake, imetutoa kwenye kisiwa cha amani imetupeleka kwenye kisiwa cha uvumilivu. Je sisi vijana tupo tayari vizazi vyetu vije viishi kwenye kisiwa cha uvumilivu kama sisi??
Tukumbuke wazee wetu walivyojitoa bila kujali silaha za Muingereza, ili tu sisi tupate uhuru. Kwa nini sisi tunashindwa kupambania kizazi chetu kijacho, kisiishi maisha ya kidhalimu yanayoendeshwa na serikali ya CCM ???
CCM inasema vita vita, wao mbona waliandamana kwa Muingereza na vita haikutokea. Muingereza na bunduki zake na mizinga lakini wao waliendelea kuandamana bila kuogopa vitisho vya vifo, mpaka Muingereza akawapatia kile wanachotaka??? Yaani watu wanatekwa, damu zinamwagika, bado tu wananchi tunanyamaza??? Ni kitu gani duniani kina thamani kuliko uhai wa watu ??
Serikali inadidimiza uchumi, inauza rasilimali za taifa kiholela huku anazidi kuongeza deni la taifa ambalo litaathiri mpaka vizazi vijavyo. Tunamuangalia tu ??? Sisi ni wabinafsi kiasi gani mpaka tunashindwa hata kujitoa kwa ajili ya vizazi vyetu?? 29 OKTOBA tudai hatma ya taifa letu. KATIBA MPYA ni sasa. Mwisho wa UFISADI ni sasa. Mwisho wa UTEKAJI na UUAJI ni sasa.