Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa.
Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani, WHATEVER COMES TO THEIR RESCUE IUNGWE MKONO. Kisingizio cha sovereignty of Venezuela collapses...
Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
Naombeni tusaidiane
Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga
Haki ya Mungu sitakuja kumsamehe mtu kama huyu, mbona Tundu Lissu hamkumsamehe kipindi kile
Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau!
Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika!
Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu)
Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
A au AO
B au BO
AB (au A na B)
O
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba...
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana
Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5
Huu ni ujinga
Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake
Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025
1. Binti wa zamani at the top
2. Manyanza
3. Sizinga
4. Chief-Mkwawa
5...
Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi.
Samuya yuko gereza la kukataliwa na...
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
Nehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina?
Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.
Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...