wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Unaishi vipi na mpenzi wako mwenye asili ya udokozi?

    Kuna huyu mpenzi wangu nashindwa kumuelewa, amekuwa na tabia ya udokozi udokozi wa hela. Yeye haombi, akiona kuna laki atanivizia nikiwa nimelewa, anachomoa kama arobaini hivi anakaa kimya; huku akijua labda mimi nimepoteza kumbu kumbu. Nikiuliza, mbona hapa hela imepungua; anasema labda...
  2. S

    Ukiona mke wako anakudharau jua tu haumfikishi kileleni

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao. Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu...
  3. R

    Naomba kufahamu ni maeneo gani ambayo hayana uswahili mwingi wizi mwingi sehemu tulivu kwako wewe na Mali zako Kwa dar

    Habari Wana great thinker Katika harakati za kuwaza nitafanya biashara gani na nikae wapi nimekaa nimefikilia nikaona dar es salaam utakuwa mkoa Bora kwangu Kwa kuanza maisha. Umri miaka 25 jinsia kiume. Sina UZOEFU wowote na mkoa huo ila naamini kutobolea hapo sababu zilizonifanya kuwaza...
  4. Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

    VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA ▲Kouassi Yao - (Yanga SC) ▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC) ▲Mohammed Hussein - (Simba SC) 4: KIUNGO...
  5. Angalia hapa mwaka wako wakuzaliwa na mwaka wako wa kustaafu na umebakiza miaka mingapi ustaafu

    Sina maneno mengi mimi Angalia mwenyewe
  6. Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  7. Haudaiwi chochote na girlfriend wako

    Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu. Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende. You...
  8. Ni sawa, umeenda kupima DNA na ukakuta mtoto sio wako; utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  9. Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

    Wanabodi, Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila uchao mbele ya bwana mpya au bibi mpya?. Je hiki kinachofanywa na wanasiasa hamahama, kila saa...
  10. Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

    Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya. Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
  11. Sema uongo wako tucheke

    Uongo wangu kwa siku ya Leo 1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu. 2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili kisieleweke 3.Nitagombea Urais wa Tanzania 2025 4. Kuanzia leo siogi hadi Kmc awe bingwa NBC. Sema na wewe
  12. Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  13. Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

    Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k. Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na...
  14. Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
  15. Hivi unakuta Jogoo wako kampanda mbwa utarajie nini

    Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
  16. Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  17. Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

    Natumain mna afya njema Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu...
  18. Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  19. Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…