Rais hataniwi kamwe,
Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani.
Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini?
Itumieni kwa baba yenuuuu
Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi.
Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG).
https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc
==============================
Pia soma ~...
Kenyan comedian Eric Omondi ametoa wito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi this Saturday at Uhuru Park kwa kile ameita “Operation Safisha Nairobi.” Lengo kuu ni kuunganisha nguvu na wananchi kusafisha jiji la Nairobi, ambayo imekuwa ikikumbwa na changamoto za taka na mazingira machafu.
Kupitia...
Kulingana na ripoti iliyotolewa Ijumaa na Shirika la Kitaifa la Takwimu Kenya (KNBS), Februari 27, bei za baadhi ya vyakula zimepanda. Kati ya Januari na Februari mwaka huu, bei ya sukuma wiki ilipanda kwa asilimia 2.4, huku ile ya kabeji na viazi kila moja ikiongezeka kwa asilimia 4.0.
Sekta...
A law firm has written to the Director General of Immigration Services, citing Article 35, demanding details on how 28 foreign nationals including Wicknell Chivayo and Sudanese individuals linked to RSF allegedly obtained Kenyan passports.
Despite facing international sanctions and integrity...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.
Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
Katika siku za hivi karibuni, mitandao ya kijamii imejaa sauti kutoka kwa Wakenya, hasa vijana, wakionesha mshikamano wa dhati na Watanzania wanaopaza sauti dhidi ya mifumo ya ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za binadamu na matumizi mabaya ya madaraka. Hali hii imezua mjadala mpana: kwa nini...
Kuna wakati trump aliwa diss sana sana UN, ni namna gani wapo bias na wanafiki
Sasa ndio naelewa kwanini
This is what we call paid activism, wanafurahia pesa za mafuta hawa🚮🚮
Historia Huwa inajirudia
Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo.
LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
Hapo vip!!
Katika nchi za afrika mashariki na Afrika kwa ujumla,sijawahi kuona nchi inayoipenda nyingine kama kenya wanavyoipenda Tanzania na watanzania kwa ujumla.
Nadhani hii nature kati ya kenya na Tanzania utaiyona kwa Marekani,uingereza,ujeruma,canada na Israel ila pia hii ya kenya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.