wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    Wakuu nadhani mko poa Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
  3. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  4. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

    Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia. Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa. R.I.P JPM.
  5. JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  6. JamiiForums Tanzania January Makamba akigombea Urais nitamnadi mpinzani wake nchi nzima, Naendelea kutunza ushahidi halisi

    Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia Someone is hunting it for real by hooks and crooks! Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani, Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Mwinyi Zahera na uchawi wake mpirani

    Zahera ameisaidia Yanga kupata mafanikio kuliko mtu yoyote. Yule papaa ni mchawi. Kuna kipindi Yanga hawana hata hela ya kula ila timu inashinda anaenda kuwanunulia mihogo na juice ya jero. Baada ya kumfukuza kama mkurugenzi wa ufundi tutegemee Yanga kuyumba. Yule papaa ni mchawi wa soka la bongo
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

    Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala. Mwanaume anajiona...
  10. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

    Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za magoli. Na kwa uwezo mkubwa na kipaji cha mwenye timu yake Clatous Chama, nina uhakika zote angefunga...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  12. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya upendo anaooneshwa Rais Samia katika ziara mikoani ni uchapakazi wake

    Na Chacha Wangwe Jr Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi wake. Tuangazie mambo machache yanayopelekea Rais Samia kupendwa sana Mkoani Kigoma na Kagera; 1...
  14. R

    JamiiForums Tanzania World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pombe ilimfanya apoteze utu wake, akose familia yake na kumzika mama yake mzazi

    Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika. Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
  16. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  17. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere aliwezaje kuwazuia Wanafamilia yake kutoingilia mifumo ya utawala wake?

    Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa...
  18. JamiiForums Tanzania China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

    Mamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
  19. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

    Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu. Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au...
  20. JamiiForums Tanzania Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…