Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Showmax

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
6,594
12,579
Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni mtoto wako na wanafanana, mama yake mzazi na binti nae anajua mtoto sio wa mkwe wake bali ni mtoto wa nje baada ya kuambiwa na binti yake. Baba mzazi wa binti ajui ishu hii.

Jamaa kapigiwa simu jana na mke wa mtu kwamba mambo yamesharibika huku Mr ameshajua na alishawahi daka message yake na keshapigwa chini yaani kaachika akiwa kwenye hali ya uzazi. Jamaa yangu hana amani

1. Anasema hatia ya kuvunja ndoa takatifu ya mtu ataitubuje.

2. Mke wa mtu aliyeachwa kwa upumbavu wake anataka matumizi na yeye kipato kujigawa hawezi.Hofu uenda taarifa zikafika kwa mke wake zikifika nae ndoa uenda ikawa chali.

Jamaa hana amani hana furaha, hata Mimi nimejisikia vibaya sana.Na Mimi nawaza kuvunja nae urafiki kabisa.

Swali hadi mnazaa na wake za watu je hao malaya wanaoujiuza huwa hamuwaoni? Hadi mnaenda kutenganisha furaha za watu.

Kumbuka mke wa mtu aliyeachwa ana mtoto wa kwanza ambae nae anaenda kukosa upendo wa pamoja wa baba na mama.

Na nyinyi wanawake umepewa heshima ya ndoa kwann usikitulize nini kipya unachotafuta?

Acheni kubomoa familia za watu.

Maandiko yanasema " ndoa iheshimiwe na watu wote"

Midume mingine ya hovyo kabisa inaenda hadi kulala kwenye kitanda nyumbani Mwa mwanaume mwingine, walipasuliwa speaker ni haki yao kabisa.
uzuri MUNGU huwa afichi siri.

Dunia Ina mambo unaleta duniani watoto wasio na hatia. Majuto mjukuu, thus wamejaa makanisani. Dhambi hii ya kutenganisha kilichounganishwa haifutiki ni SAwa na kumwaga damu ya mtu.
 
Mapenzi ya mbali ni mtihani mengi yanaangukia pua kama hivyo
Hahahah we unafikiri mchezo na mvua kama ya leo hii noma. Imagine wewe upo kwenye mradi wa JNHPP kule ukiingia kutoka baada ya miezi 6 kama jela vile.

Mwanamke anawashwa huku lazima tu atatokea mtu atakutombea yani haina jinsi. Mbaya zaidi mgongaji nae anogewe hadi akojolee ndani na kutia mimba.

Ukija unakuta mtu anakuchomekea CD kumbe hata mimba haikuwa yako. Mungu sio Khalidi mara umefumania meseji za kupongezana kwa mkeo na hawara wake.
 
Huwaga una story wewe😂😂, mbona inawezekana kuwa mwaminifu sio rahisi ila inawezekana
 
Wangapi wanaweza kuwa waaminifu? Kuna wanawake fursa ya kugongana ni kama wameona chips kuku au kitimoto rosti. Yani lazma ataachia tu na hawa ndio wako wengi.

Waaminifu wengi huwa uaminifu wao unaishindwaga kwa wenye nazo. Unakuwa flashed na vitu expensive kama gari, fedha na mitoko. Basi tayari unakuta kashauza utu ila watu wa hali ya chini angeweza kuwakazia.
 
Unachotakiwa kujua uaminifu una gharama, ishi mbali na vishawishi vinavyoweza kuharibu uaminifu, narudia tena sio rahisi sana inahitaji kuikana nafsi, na akili yenye kufikiri vizuri
 
Jana jamaa yangu yamemkuta hana amani ya moyoni, pana mke wa mtu mumewe wake anafanya Kazi mkoani anasema alikuwa anapitia, mke akanasa mimba mtoto kazaliwa mke wa mtu kamwambia jamaa huyu ni mtoto wako na wanafanana, mama yake mzazi na binti nae anajua mtoto sio wa mkwe wake bali ni mtoto wa nje baada ya kuambiwa na binti yake. Baba mzazi wa binti ajui ishu hii.

Jamaa kapigiwa simu jana na mke wa mtu kwamba mambo yamesharibika huku Mr ameshajua na alishawahi daka message yake na keshapigwa chini yaani kaachika akiwa kwenye hali ya uzazi. Jamaa yangu hana amani

1. Anasema hatia ya kuvunja ndoa takatifu ya mtu ataitubuje.

2. Mke wa mtu aliyeachwa kwa upumbavu wake anataka matumizi na yeye kipato kujigawa hawezi.Hofu uenda taarifa zikafika kwa mke wake zikifika nae ndoa uenda ikawa chali.

Jamaa hana amani hana furaha, hata Mimi nimejisikia vibaya sana.Na Mimi nawaza kuvunja nae urafiki kabisa.

Swali hadi mnazaa na wake za watu je hao malaya wanaoujiuza huwa hamuwaoni? Hadi mnaenda kutenganisha furaha za watu.

Kumbuka mke wa mtu aliyeachwa ana mtoto wa kwanza ambae nae anaenda kukosa upendo wa pamoja wa baba na mama.

Na nyinyi wanawake umepewa heshima ya ndoa kwann usikitulize nini kipya unachotafuta?

Acheni kubomoa familia za watu.

Maandiko yanasema " ndoa iheshimiwe na watu wote"

Midume mingine ya hovyo kabisa inaenda hadi kulala kwenye kitanda nyumbani Mwa mwanaume mwingine, walipasuliwa speaker ni haki yao kabisa.
uzuri MUNGU huwa afichi siri.

Dunia Ina mambo unaleta duniani watoto wasio na hatia. Majuto mjukuu, thus wamejaa makanisani. Dhambi hii ya kutenganisha kilichounganishwa haifutiki ni SAwa na kumwaga damu ya mtu.
Zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...
 
Back
Top Bottom