wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu. Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha...
  2. JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  3. JamiiForums Tanzania Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

    Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
  4. JamiiForums Tanzania Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Salamu ndugu zangu Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya yenye mabadiliko ya maendeleo na kujali raia wake

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele. Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

    Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga...
  7. JamiiForums Tanzania Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  8. JamiiForums Tanzania Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

    JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yafichuka ndani ya Equity Bank, mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari alipewa tender na swahiba wake Zenda

    Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala, Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, hivyo Daniel ZENDA alimpa tender...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  13. JamiiForums Tanzania Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitenguliwa tulia, kila jambo lina wakati wake

    Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Kamanda Paul L Fulano kuimarisha chama Sengerema. 2025 lazima umg'oe Tabasamu na utajiri wake

  17. JamiiForums Tanzania Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  19. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  20. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo. ======================= Mkazi mmoja wa Pugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…