wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania India yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini upole wake usije tafsiriwa vibaya

    Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi. Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
  2. JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania na matajiri wake

    Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo. Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85. Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela. Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  4. JamiiForums Tanzania Huu moshi mweupe ama mweusi kuchagua pope unatokea wapi..nani anawasha moto wake

    NILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja Mweusi mjue shuhuli pevu Sada nawaza huu moshi hutokea wapi Na kama ni sababu ya moto anayewasha n nani?? Kila la kheri mtoa moshi embu kwa walivyochoka wapiga kura njoo na...
  5. JamiiForums Tanzania Rihanna na A$AP Rocky wanatarajia mtoto wa tatu

    Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025. Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho sana na Lissu na "Watu wake"

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto atakuwa na waganga qa jadi wenye uwezo wa kupambana na watesi wake. Hajamwanchia Mungu.

    Mwanasiasa wa Pakistan Tengeneza makazi ya wazi na ya siri Usile kizembe Tembea na silaha za jadi na miliki kihalali silaha za kisasa Tafuta waganga wenye uwezo wa Kuuwa mtu akikuumiza,kukusingizia kesi aliyekukamata hakimu aliyekuhukumu wakili anayetetea maovu usimuachie Mungu
  10. JamiiForums Tanzania Dogo Paten atumie vizuri huu upepo wake

    Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda. Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  13. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

    Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game! MAPENZI KICHA...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia ndiye alikuwa anamshauri Hayati Magufuli jinsi ya kudili na wakosoaji wake. Anayoyafanya sasa ni ushahidi

    Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…