wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  3. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

    Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
  5. JamiiForums Tanzania Mpina bila kukatwa angebaki CCM milele, ni hasira tu zilezile za watangulizi wake.

    Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT. Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana maana yake ndiyo hii. Mpina hakipendi chama cha ACT, bali amelazimika tu kama walivyolazimika akina Mrema...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  9. JamiiForums Tanzania Sakata la mzize na wakala wake Jasmine

    Katika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu. Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya kinakuramba mapema sana.
  10. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  11. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  13. JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua. Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  15. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  18. JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  19. JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  20. JamiiForums Tanzania pamoja na yote ya Pole Pole lakini huu wimbo wake ni mzuri sana aisee

    sikiliza hii ngoma aisee.. ni bonge la pini aisee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…