wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyemtoa kafara mke wake ili apate ubunge ni nani?

    Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge. Ni nani huyu wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha 😂 😂 😂 😂 Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii! Je, ndiyo tuseme mwisho wake umekaribia?

    Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake. Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  5. JamiiForums Tanzania China yazuia watu wake kuwekeza Israel

    HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya. Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!. Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Algeria kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

    Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013. Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili. Mvutano katika uhusiano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  9. JamiiForums Tanzania Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

    wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping amewafukuza kazi general CDF wake wawili kwa kuwasingizia wanatumika na Pentagon

    Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Waziri Makonda, tusaidie wana Simba kumuondoa Mangungu. Muda wake kikatiba imeshaisha

    Hapo vip! Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa. Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya. 1. kwanza anatumika na Yanga kutoa siri za ndani zinazopangwa na club, pia kuharibu mipango mizuri ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga????

    Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama? Yaani wenyewe hawana imani kiasi kwamba wanafikiri ana muhujumu Mama hivyo wapambe wa Mama wamehakikisha amezungukwa na wazanzibari tupu. Je tumefika huko ? tumekuwa tukisikia tu lakini angalienei...
  15. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  17. JamiiForums Tanzania MAREKANI YAALANI TAARIFA ZA RAIA WAKE ALIEKAMATWA NA MABOMU MPAKANI SIRARI KUWEKWA WAZI.

    Lengo la kuileta hii habari sio Ishu ya Marekani kulaani No! Ni jinsi Watanzania hususan wakosoaji wa serikali, wanaharakati na baadhi ya wafuasi wa vyama fulani vya siasa walivyopokea tukio hili kipindi kile. Wengi waliona ni maigizo ya Jeshi la Polisi leo watasema nini?? Ifike mahali baadhi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi huwa kuna mimba huwa zinamfanya mwanamke kuwa na visirani, hasira na dharau dhidi ya mme wake?

    Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba. Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…