wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kwanini wakristo wakatoliki wanaungama dhambi kwa padri? AKA kuhani?

    Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa. Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa. Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
  2. Superbug

    Wakatoliki hawana ubaguzi wako na rational judgment.

    Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile. 1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo. 2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
  3. L

    Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
  4. K

    Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

    Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo. Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
  5. M

    Mlidhania mkiwatukana na kuwadhalilisha wakatoliki rais Samia atakubalika! Ndio anazidi kukataliwa mioyoni mwa Watanzania.

    Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti. Wazee pia hawamkubali. Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine? Mmelamba mchanga.
  6. Chachu Ombara

    Wakatoliki GMO wataka Padri Kitima kuchagua siasa au dini

    Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa. Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande...
  7. MamaSamia2025

    Ipigwe mechi ya mpira kati ya Wakatoliki na Wasabato ili kuleta mshikamano

    Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo; 1. Wasabato vs Wakatoliki 2. CCM vs CHADEMA 3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto 4. Wives vs Sidechicks 5. Sukuma Gang vs Msoga gang 6. Walokole vs Wanywa...
  8. Kipenzi Changu

    Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa. Awali alitangulia kuhutubia Askofu Pambo na kuwataka wakatoli kuwaombea viongozi wao kwa sababu muovu yupo...
  9. The Magnifico

    Tofauti kati ya maandano ya WAKATOLIKI na wanaojiita wakatoliki

    Tazama tofauti kati ya maandano ya "wakatoliki" na "wanaojiita wakatoliki"
  10. G Sam

    Simbachawene unagomea maandamano ya "Wakatoliki" hutaki mama asafishwe?

    Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
  11. Life2

    Wakatoliki mjiandae majaribu yataendelea sana

    Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
  12. ngara23

    Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  13. Kipenzi Changu

    Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

    Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema. Dr. Slaa amesema...
  14. Msanii

    Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

    Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu. Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
  15. DuaZaMama

    Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima. Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa...
  16. R

    Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki. Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick...
  17. Just Pray

    Sugu: Wakatoliki na vijora wapi na wapi? Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?

    Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?! Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka. NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
  18. Life2

    Wakatoliki mmewatambua watesi/maadui wa Imani yenu?

    Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda. Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe. Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
  19. B

    Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
Back
Top Bottom