wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

    Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo. Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
  2. JamiiForums Tanzania Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini. Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
  5. JamiiForums Tanzania Anakutafuta wakati wa shida, muweke pembeni

    ANAKUTAFUTA WAKATI WA SHIDA. MUWEKE PEMBENI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya Tabia Mbaya ya kibinafsi ambayo wanadamu wengi tunayo ni kumtafuta mtu Wakati wa shida. Wakati mambo yako yakiwa Safi aaaah! Kimya unajilia Maisha pekeako. Umepata kazi na unalipwa vizuri aaah! Hutafuti...
  6. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Lionel Messi anamlinda hadi wakati wa kushangilia uwanjani

    Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda akiwa katika majukumu ya kazi yake. Kilichowashangaza watu wengi ni kuona Mlinzi huyo ambaye pia ni...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

    Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi. Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu? Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  9. JamiiForums Tanzania Yuwapi January Makamba wakati huu nchi ikiwa gizani?

    Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya? Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates. Yuwapi Januray Makamba?
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Msanii Killy afunguka mazito: Wakati tupo Konde Gang hatukuwa na pakuishi

    Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia majani mengi aitwae harmonize akiojiwa xxl. Nb: wakati tunawaambia haya mkatushambulia kuwa tuna...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka CCM irudi kusimamia Itikadi na Misingi yake

    Asalam, 1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM 2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa. 3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM 4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa. 5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
  15. JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Kuongezewa njia wakati wa kujifungua

    Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa kuchanika. Mama mjamzito ataongezewa njia ili kumlinda mtoto, ikiwa mtoto ametanguliza uso, makalio au...
  17. JamiiForums Tanzania Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote. Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi...
  19. JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

    Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…