wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuwa 'Photographer' wa marafiki zako wakati mnatoka out, nacho ni kipengele

    Wakuu, ' Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂 Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu. Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumefukuzwa kazi UDART, tumeenda PSSSF michango yetu mingi haijaingizwa wakati tulikuwa tunakatwa

    Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya michango yetu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoingizwa kama inavyotakiwa licha ya kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

    Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake. Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

    Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

    Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi. Nitafafanua kwanini nasema hivyo. 1. Lissu kama Kiongozi sahihi. Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: CCM imejiweka kwenye wakati mgumu yenyewe

    Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea wa muungano wa UKAWA. Kwa kweli uchaguzi ule ulikuwa mzuri sana (nazungumzia kwa upande wa bara acha...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

    Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??. Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine Suluhisho huanzia kwa Mtu usiyemjua

    Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia. Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini ninaendelea kutafuta namna ya kujenga kipato changu mwenyewe. Kuna mambo kadhaa ninayafanyia kazi, na...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu utakaowaandaa watoto kwa ajili ya wakati ujao: Fahamu siri ya shule ya Elon Musk, 'Ad Astra'

    Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu alikusudia nini kuwahadaa wafuasi wake kwamba DCI, IGP na CDF ni miongoni mwa mashahidi wake kwenye kesi yake ya uhainna wakati si kweli?

    Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini. Na hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanapenda kusema, "NILIKUWA NA...", hata kama kitu wanachokisema kiko kwenye wakati uliopo?

    Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano. 'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi. 'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani. Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi? Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
  14. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuunda na kununua meli zetu kama ilivyo kwenye ndege

    Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje. Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo. Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
  15. JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania PICHA INAYOZUNGUMZA MENGI WAKATI HUU

    Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo 3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa. Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye...
  17. JamiiForums Tanzania Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
  18. JamiiForums Tanzania Hakikisha unapo piga mamsi wewe ndio unajua wakati wakuachwa

    .
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna wakati maisha yanakufundisha kimya kimya

    WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA... Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito. Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia? Kwa nini wengine wanapata fursa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

    Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…