wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais anaongoza, wao wanamkejeli anafanya comedy?

    Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii. Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuiweka Manchester United kwenye maombi isishuke daraja msimu huu!

    Man U hivi sasa sio tena Mashetani bali ni vibonde wa EPL Goodison Park nyumbani kwa Everton tayari wamekalia chumba 2 na ni Half Time
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  5. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ratiba ya umeme wakati wa maboresho ya mitambo kuanzia Februari 22, 2025

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

    Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wardrobe ya Nama mbona wakati mwingine inakosa standards!

    Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini? Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party! Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote. Ref Daily News front page.
  14. Mwangi T.

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufanya mistake wakati ukiendesha gari, unalojutia mpaka leo?

    Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele. Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali sana. Nakaribia kuovateki gari ndogo nayo ikataka kuovateki. Nilipiga honi akarudi ndani nikaovateki...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Issue ya Fanton iko very sad, kuna wakati kile ulichopaswa kukihofia tu ni ku-maintain mafanikio yako. Sasa hivi unahofia kama wife ataruka kutaka 50%

    Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy. Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake, ongezeko la utamaduni wa kisera sera na influence ya social media. Tulipokuwa wadogo, pale baba...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  18. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Maumivu Wakati Wa Tendo Kwa Mwanamke.

    Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia. Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, na yanaweza kusababishwa na sababu za kimwili au za kisaikolojia. Leo katika mada...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine tunachukiwa na watu kwasababu hawakupenda tuwe hivi leo

    Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa kila mahala. Yawezekana wanakuchukia kwasababu ya kipawa, neema au uwezo ulionao mkubwa kiasi kwamba...
Back
Top Bottom