Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone.
CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030.
Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
My Take
Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake.
------------
Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile.
Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya kujifunzia ambayo watoto wetu wanapitia shuleni hapo.
Changamoto kubwa ni wanafunzi wa Darasa la Tatu ambao...
Anonymous
Thread
bonyokwa
madawati
masomo
msingi
shule
shule ya msingi
wakati
watoto
watoto wetu
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."
"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao makuu ya Klabu hiyo.
Ameyasema hayo akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu ya Yanga ambapo ameeleza...
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu.
Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana .
Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera.
Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
Habari wadau,
Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala.
Kijiji cha Mwalugulu ni miongoni mwa vijiji vilivyopangwa na kupimwa vizuri tangu enzi za Mwalimu, hususan katika...
Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni.
Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
asiende
bila
birthday
diamond
harusi
jeuri
jeuri ya pesa
katoro
kiingilio
kufanya
kwao
matajiri
mtoto
mtoto wa
mwanza
nyuma
pesa
shoo
show
siku
tajiri
tarime
vita
wakati
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO...
Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.
Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali.
Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa...
Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
Anonymous
Thread
kijiji
kilimo
kilimo cha umwagiliaji
kivuko
kusafirisha
maji
mpwapwa
tuna
umwagiliaji
wakatiwakati mgumu