wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania No internet Connection, Kwanini wakati Data ipo active?

    Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki. Shida ni nini salio la kifurushi
  2. JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Dhidi Ya Lisu Ni Mwendelezo wa Uharamia wa Wakati Wote, Sawa Walivyotendewa Waliouawawa na Waliotekwa, Lakini Hakuna Kesi.

    CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani anaongoza nchi wakati huu wa Uchaguzi ukizingatia kuwa Rais naye anagombea?

    Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi. Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na...
  6. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawekezi kwenye biashara ya ma godown wakati hela nje nje

    Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilikuwa naambia watu soka la bongo ni mazingaombwe na scheme wakaniambia najifanya mmarekani sana, aya sasa na bado mtaona mengi

    "I prefer not to speak, if i speak am in big trouble" -jose mourinho
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  11. JamiiForums Tanzania Harambee ya nini wakati CCM haina mshindani? Hayati Nyerere au Magufuli asingekubali haya

    Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
  12. JamiiForums Tanzania Mnatuchangisha fedha Ili mpate ajira mpya?sisi mlituchangia wakati tumeitwa na Tamisemi?

    Jibuni swali nyinyi maccm tafadhali
  13. JamiiForums Tanzania Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa kwa wakati kwa wakandarasi

    Kumekuwa na kilio kwa Wakandarasi kutolipwa kwa wakati huku wakimaliza kazi zao na kukaguliwa na mamlaka na kuthibitisha kuwa kazi zao ziko sahihi na wanatakiwa walipwe. Ikumbukwe kuwa Bunge letu lilipitisha sheria ya kila anayeweka mafuta kwenye gari lake sharti aichangie Tanroads/Tarura...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati kudanganya madhabauni iwe kosa kisheria ndani ya Afrika

    Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia. Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini? Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
  16. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujitaman? Kuna wakati huwa najitamani mwenyewe

    Nikiangalia kwenye kioo, Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed. Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa. It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”
  17. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la 1: Mishale ni michache, vita vinaendelea. Piga wakati ardhi bado inalia.

    Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19 Hubiri langu la kufafanua andiko kuu. Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…