Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi.
Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha...