Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana.
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
Nimepata taarifa mahala kuwa kesho atahutubia taifa akiwa anazungumza na wazee wa Dar es salaam.
Kesho akiri hadharani kuwa ufisadi na upendeleo wa familia za makada wa CCM wanaojulikana ni tatizo kwa taifa letu. Hakuna mzizi wa tatizo utatatuliwa.
Watu wana hasira sana. Wamejaa na hasira...
Wakuu
Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu.
Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
Kilichofikia sasa wenyekiti wa CCM na wengine kupitia ujinga wa waziri mchengerwa mnaanza kuponza watu maana wameanza kuochoma watu ili wafanikiwe kuishi kwa amani ila amani ngumu.
Sasa imekuwa wakati mgumu mpaka wanaojulikana nafasi zenu na familia zao wameaanza kuwakataa au kimbia maneo...
Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa
Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile.
Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea.
Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea.
Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso.
connection zilikuwepo za kazi...
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara.
Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
Wakuu habari,
Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza...
Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na...
Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti.
Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza.
Top 5 zangu
Million years ago - Adele
Sikati Tamaa - Darasa
Moyo Wangu - patrick kubuya
Voilà - Barbara Pravi
Dear Mama - 2pac
https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
Wakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25
Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne niliugua ugonjwa wa ajabu sana miguu ilikuwa inawaka moto na kuhisi baridi sana muda wote pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.