wakali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raisi mpya wa Iran na kiongozi mpya wa Hamas ni wakali zaidi kuliko wenzao waliotangulia.

    Ile kampeni ya kuua viongozi na makamanda wa makundi pinzani kwa utawala wa Israel bado haijaonekana kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. Raisi Ibrahim raisi wa Iran alifariki kwenye ajali ya ndege miezi 2 iliyopita.Katika uhai wake hakuwa na mzaha na utawala wa kiyahudi huko Israel.Yeye ndiye...
  2. Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  3. Watu wakali, wasio na aibu na ving'ang'anizi mithili ya Haji Manara lazima wafanikiwe

    Hello morning!! Mimi ni miongoni mwa watu wenye tabia za upole na aibu. Upole na aibu havina faida yoyote kwenye maisha ya mtu. Nilikosa kazi mbili ambazo zilikuwa zinanisibiri Mimi. Ila kwa tabia ya upole nikashindwa kuzichukua zile kazi . Watu kama Manara lazima wafanikiwe kwa level zao...
  4. Wakali wa movies

    Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona ili wengi wazitafute
  5. Wakali wa movies anayeijua hii movie atuambie

    Kama unaijua hii movie jina lake please itaje..
  6. Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  7. Xavier na David wakali wa memes

    Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
  8. BLUMHOUSE - Wakali wa movies za kutisha duniani

    Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru mno kwa hili. Hizi hapa ni baadhi ya kazi zao, ukipata muda basi jikonge na roho yako. 1. HAPPY...
  9. Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  10. Nani aje, Kuna hela za Bure hapa, mademu wakali wa dar

    Nanianichanganye nimfue? Nimkamie? Nimkande.?
  11. Kwanini kuna Wasanii hawadimu kwenye game na ni wakali sana.!?

    Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali kabisa!? . Au huyu LodyMusic.. kwanini wanakuja na kuondoka.. pure talents. Embu tuwasikilize hapa...
  12. Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  13. Jeuri za masetela hawa wa kiyahudi ndio zinazohalalisha walichokifanya Hamas 7/10/2023 na kuwafanya wawe wakali kupigana bila kusalimu amri

    Mawaziri wakuu wastaafu wamekuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea. Wameungana na maraisi na viongozi mbali mbali duniani kuhimiza kuwepo kwa taifa la Palestina sambaba na Israel. Lakini bado kuna mawaziri ndani ya serikali ya Benjamin Netanyahu wanaungana na...
  14. Matokeo ya Kidato cha Nne yamenikumbusha wakali hawa wa mwaka 2005 kutokea kule Mbeya

    Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001. Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
  15. Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.
  16. Nimefanikiwa kupata mkopo wa Milioni 470 nimetenga kiasi hiki kwa ajili ya kujipongeza na watoto wakali

    Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji. Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi...
  17. Mbwa wakali wa ulinzi (mali dutchie puppies)

    Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi Aina: MALI DUTCHIE DOG Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois Umri : 3.5months Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo Walipo: Kigamboni-Kibada Mawasiliano: 0713621678 au...
  18. Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  19. Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  20. Restaurants zenye mademu wakali Bongo

    Greetings Kitty Chasers na my fellow Pussy prowlers, Wanasema kama unapenda Quality Women lazima uwe unajua kusoothe a lonely Vag***a na uwe na bone strength ya nguvu ya simba, warembo wazuri na matata, pia wanaviwanja ambavyo wanapenda kuhang kwenye siku tofauti za wiki, ukiyajua maeneo haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…