wakali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  2. secretarybird

    Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?

    Tatizo ni nini wakuu? Je ni kwba ulokole ulianzia kule au waIsrael wote ni walokole?
  3. secretarybird

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  4. McLaren

    Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Wakuu, Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno. Leo kuna playlists moja nimekutana nayo huko Spotify. ilikuwa na nyimbo za marapa hawa ambao tangu kitambo wako kwenye game...
  5. Mganguzi

    Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

    Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi , Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio amewekwa mbele na Kuna makubaliano maalumu na malengo maalumu! Polepole sio kichaa Yuko sirias na ana...
  6. FORBIDDEN HISTORY

    Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

    Hongereni wana singida. Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣 Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy, Weweeee🤣
  7. Dr. Mariposa

    Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  8. Munch wa Annabelle

    Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  9. Moto wa volcano

    Wakali wa FC 25 PS5

    Natafuta anayejiona mbabe wa FC 25 , PS5 tukutane online , binafsi sina mpinzani East Africa nzima mpaka EA sports wananitambua
  10. ESCORT 1

    Wakali wa Location hapa ni wapi?

    Kama wewe unaifahamu vyema Tanzania, hapa ni wapi?
  11. Baba Rhobi

    Music Enthusiasts na Wakali wa Sound System, Pitieni hapa mtoe ushauri.

    Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na Sabufa za hapa na pale.
  12. DELETED ACCOUNT

    Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  13. baggio23

    Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wakali wa location, hapa ni mkoa gani?

    Twende kazi, hapa ni mkoa gani? Taja sifa moja unayoijua kuhusu hapa…
  15. Stephano Mgendanyi

    Bunge Lampa Tano Rais Samia kwa Kujenga Vituo Maalum vya Kudhibiti Wanyama Wakali Nchini

    Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na kuwajengea vituo na kutoa vifaa vya kukabiliana na changamoto hiyo katika maeneo mbalimbali nchini...
  16. Top Gun

    Watoto wanazidi kuwa wakali, pesa nayo imekuwa ngumu!, kazi hakuna! Si nikuingizana CHAPUTA huku?

    Acheni nyie tulizo la kweli za stress za mwaanume ni kujipatia dubwasha tepe tepe likikukatia viuno huku unasahau madeni for some moment. Bangi hatuvuti, pombe hatunywi, sasa tufanyeje, tujxpxge vidole au? Ndio hivyo ukata umekuwa mkali, wakubwa wanakula wake zenu, nabii wa mchongo wanakula...
  17. Equation x

    Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

    Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe...
  18. Tlaatlaah

    Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  19. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

    Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
  20. Jay_255

    Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
Back
Top Bottom