Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream.
Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend.
Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza:
🎵 Black Tax – Just B
🎵 Chai...