wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  2. Je Wajua Kwamba CCM wanapambana kwa nguvu zote utabiri wa Shekh yahya usitimie?

    GT Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari. Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania. Je mtaweza au...
  3. Je, wajua kila Agosti 15 kila mwaka taifa la Congo Brazzaville inasherehekea siku uhuru waliopata mwaka 1960?

    Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960, Jamhuri ya Kongo, inayojulikana pia kama Congo-Brazzaville, ilipata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa...
  4. D

    Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  5. Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  6. Je wajua Ireland wana festival ya watu wenye nywele nyekundu?

    Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
  7. Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya, 47:7 Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu. Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru...
  8. Je kifurushi chako cha MB, dakika au SMS kikiisha muda wake wajua kuna uwezekano anauziwa mteja mwingine?

    Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi? Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
  9. JE WAJUA

    Toa taarifa kuhusu uvunjivu wa haki za binadamu
  10. Je, wajua? Kati ya mwaka 1998 hadi 2012, Nokia ilikuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa simu za mkononi duniani

    Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
  11. Je, Wajua? Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani!

    Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84. Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya. Maisha marefu ya raia wa...
  12. Z

    Je wajua kuwa wanawake wote si sawa?

    Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum 1.macho : Kuna 2.sikio : kusikia 3.pua: kunusa 4.ukimi : kuonja 5.ngozi : kuhisi Linapokuja swala la tendo la ndoa ,hapa kinachofanya kazi ni ubongo ,uke na ume Uke na ume vina ngozi .viunge hivi havina uwezo wa...
  13. Je Wajua Jina la Mozambique limetokea wapi?

    Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa kazkazini kama Maeneno ya Tanzania na Kenya yaliyokuwa chini ya Sultanane ya Oman. Kwaiyo Musa Bin...
  14. S

    Je, Wajua wanyama wana namna yao ya kujitibu?

    Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au kupunguza maumivu wanapoumia au kuugua. Kwa mfano: Nyani walionekana wakila majani fulani ambayo...
  15. Je wajua haya!?

    -Panya Hawezi Kutapika.🐭 -Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.🐍 -Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.🐝 -Twiga hawawezi kuogelea.🦒 -Nyoka hawasikii.🐍 -Mchwa hawawezi kulala.🐜 -Hedgehog hawazami majini.🦔 -Dubu wa polar wana mkono wa kushoto.🐻 -Nzi wana macho 5.🦗 -Pomboo hulala na jicho moja...
  16. Je wajua kuna kipande cha Pori la Simanjiro wameishakabidhiwa Waraabu? Hizo tuzo sio za Bure bure tu.

    Simanjiro kule kumeisha anza kuchangamka, Mwarabu kaanza kukabidhiwa mapema sana maeneo. Hata sakata la Olesendeka kutaka kupigwa risasi lilikuwa na uhusiano na sakata la Pori la akiba kule Simaniro kupewa Mwarabu. Kipande alicho pewa ni kinacho pakana na Kilindi, hii ni treal move kamili ni...
  17. Kama hujui lugha za kigeni, umechelewa game – Wajua wenzio wanahit cash kwa kuongea tu?

    Wadau wa JamiiForums, Ngoja niwanyooshee huu uzi straight kama line ya sare za jeshini, maana watu wengi bado hawajastuka kuwa lugha za kigeni ni life-changer. Si mapambo ya CV, si mbwembwe za kujionesha Instagram, ni fursa halisi za kutokea mitaa hadi ulaya bila hata passport kuvuja jasho...
  18. Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

    Haya twende kazi, 1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine. 2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu. 3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
  19. Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!

    Wanabodi Utangulizi, Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji. Je unajua kuwa mwajiri mkuu。wa watumishi wote wa umma,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya umma,mwajiri wao mkuu ni Rais wa JMT na...
  20. Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。 Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…