waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu...
  2. Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
  3. M

    Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  4. Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  5. Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake? Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu...
  6. Bwege: Wanachofanyiwa wakristo wangefanyiwa Waislam pasingekalika

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
  7. Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

    Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema Quran 3 :52 "Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. Sasa...
  8. Chokochoko zilianza halmashauri kuu ya TANU 1963

    https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
  9. M

    Marekani ni waislam?

    Nauliza tu. Maana kuna vijana waliozaliwa 90 na baada ya kuzaliwa wakasikia Alqaida na wengine huko mashariki ya kati wakaaza kuwasema vibaya waislam na kuanza kuona kama ndio tatizo. Wengi hawataki kusoma historia. Wanashinda ktk social media na kuanza kukoments. Sasa tujiulize marekani nao ni...
  10. Vibweka UDASA End of Year Party - Waislam wachambwa LIVE!

    1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani. 2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu. 3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu...
  11. C

    Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  12. Hivi Mnajua Mahakama Rasimi imeitambua BAKWATA kama kikundi Cha Wahuni tu, ambacho hakiwakilishi Waislam?

    Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?. Miaka yote , CCM na magengen Yao...
  13. Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  14. Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo. Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
  15. M

    Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  16. Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa Mimi...
  17. Waislam kubalini Wakristo wamewazidi katika maeneo mengi nyeti. Kama haya kisha mjifunze

    Hamjambo! 1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo. 2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi. 3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
  18. PreGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Eti uhai wa watu ni bora zaidi kuliko mali, mmh! Hakuna mali ya mkatoliki iliyochomwa, zimechomwa za waislam na wakristo wengine

    Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko. Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
  19. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  20. M

    Wakristo wa jamiiforums As-salamu alaykum, Waislam wa Jamiiforums Tumsifu Yesu Kristo

    Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…