waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munch wa Annabelle

    Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

    Shalom shalom Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu. Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99 Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa...
  2. M

    Ni kwanini waislam wakiwa wengi sehemu fulani wanapenda kulazimisha dini nyingine kufuata taratibu zao na wapo tayari kudhuru wasiofuata

    Na hii ndio sababu kubwa waislam wakiwa wengi sehemu flani, idadi ya dini nyingine hushuka kwa kasi kubwa sana kukwepa haya mateso, Wakiona unakula kwenye mwezi wa dini yao mtukufu, hawajali huamini dini yao watakulazimisha ufunge au kula katika hali tofauti na kawaida iliyozoeleka. Kutoruhusu...
  3. M

    Kwanini kwenye maslahi hata waarabu, wahindi, waafrika, n.k. hupenda kwenda kufanya kazi kwa wazungu hata kama ni dini tofauti ?

    Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
  4. ngara23

    Nawapongeza mashehe na waislam (sio BAKWATA) Kwa kupinga upuuzi wa Ramadan Cup

    Mashehe wenye ilimu na Imani ya kweli wasio wanafiki walitoka hadharani kupinga upuuzi wa Ramadan Cup Mashehe hao waliona sio sawa matukio ya kiheshima kama mwezi mtukufu kuwa kama platform ya kisiasa, Haya ndo mambo sisi wakatoliki tunapenda na hakika msimamo huu wa mashehe unaenda kurudisha...
  5. Joshua Mbezi

    Ndugu zetu Waislam njooni mnijibu kuhusu hili suala

    Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo; 1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi...
  6. M

    Kama uislam unapambwa kuwa dini ya amani (religion of peace) kwanini hata nchi ikijaa waislam bado wanauana kwa sababu ya dini ?

    Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini wataalam tunaombeni ufafanuzi Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako...
  7. M

    Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu...
  8. kukumdogo

    Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
  9. M

    Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  11. Clever505

    Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake? Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu...
  12. Mafia Island Boy

    Bwege: Wanachofanyiwa wakristo wangefanyiwa Waislam pasingekalika

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
  13. Castle_Lite

    Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

    Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema Quran 3 :52 "Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. Sasa...
  14. Mohamed Said

    Chokochoko zilianza halmashauri kuu ya TANU 1963

    https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
  15. M

    Marekani ni waislam?

    Nauliza tu. Maana kuna vijana waliozaliwa 90 na baada ya kuzaliwa wakasikia Alqaida na wengine huko mashariki ya kati wakaaza kuwasema vibaya waislam na kuanza kuona kama ndio tatizo. Wengi hawataki kusoma historia. Wanashinda ktk social media na kuanza kukoments. Sasa tujiulize marekani nao ni...
  16. Valencia_UPV

    Vibweka UDASA End of Year Party - Waislam wachambwa LIVE!

    1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani. 2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu. 3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu...
  17. C

    Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  18. Carlos The Jackal

    Hivi Mnajua Mahakama Rasimi imeitambua BAKWATA kama kikundi Cha Wahuni tu, ambacho hakiwakilishi Waislam?

    Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?. Miaka yote , CCM na magengen Yao...
  19. Beira Boy

    Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  20. Ileje

    Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo. Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Back
Top Bottom