wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Chuo Kikuu Huria (OUT): Tunachunguza tuhuma za Wahitimu wetu wa Mahafali ya 44 kudaiwa kufoji matokeo ya mitihani

    Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa chuo cha Tanzania Institute of Accountacy waliomaliza 2022 taarifa zao hazipo TCU wala NACTE. Wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji

    Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
  4. Soul21

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: MFUMO WA "VIWANDA VYA AJIRA" KWA WAHITIMU WA UHANDISI NA UFUNDI

    Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Pendekezo hili...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wahitimu Wasiohudhuria Mahafali Wanatozwa hela ya joho mda wa kufuta cheti .je hii ni sawa

    Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Vijana 149 wahitimu mafunzo ya Mgambo. Je ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

    Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance). Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka. Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola. Mifumo ipo lakini IT wengi...
  11. MOHAMADI MBARUKU MOHAMADI

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    DIVISION 1 - 61,120 DIVISION 2 - 49,385 DIVISION 3 - 14,870 DIVISION 4 NA 0 - 760 Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi sikuhizi hawauzi vitu baada ya kuhitimu, ni dalili ya maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Hapo kabla ilishazoeleka, wanachuo wakihitimu vyuo wanauza vitu kwa bei za kutupa mfano pasi, laptop, kitanda, godoro, mitungi ya gesi, n.k. Leo hii nikiwa naongea na moja ya rafiki yangu ambae ni dalali, yeye huwa anaanda hata milioni 3 kununua vitu aje kuwauzia wanachuo wapya, kalalamika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  18. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wahitimu wa Institute of Adult Education (IAE) 2024 tumeshindwa kuendelea na masomo kisa kutokupata AVN tangu mwaka jana

    Kuna tatizo sugu katika vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi Institute of Adult Education (IAE) wahitimu wa june 2024 hatujapata AVN mpaka sasa. Mwaka jana tumeshindwa kujiendeleza kimasomo kwasababu ya kukosa AVN na mwaka huu tunaelekea kukosa tena, kila ukiwasiliana nao unaambiwa...
  19. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania “Masomo ya Chuo vs. Maisha Halisi – Ukweli Mzito Uliofichwa kwa Wahitimu”

    "Umewahi kujiuliza kwa nini wahitimu wengi wana maisha magumu hata baada ya miaka minne chuoni? Je, elimu tunayopata inaendana na uhalisia wa maisha? Nimeandika makala inayoeleza wazi pengo hili – na jinsi ya kulitatua." Katika makala hii nimeeleza tabia 7 ambazo wengi wetu tunazo, lakini...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wahitimu wanaotarajia kuomba kujiunga na kozi ya diploma ya famasi

    Naomba nitumie jukwaa hili kuwaonya wazazi na wahititimu wanaotarajia kujiunga na vyuo vya ngazi ya kati kwa program ya famasia. Kwanza niwaeleze kwa nini ninaandika kutoa tahadhari hii. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mfumuko wa ongezeko la vyuo vinavyodahili wanafunzi wengi wa famasi na...
Back
Top Bottom