Hivi kweli wahariri zaidi ya 50 mliohudhuria mkutano wa Rais Samia suluhu Hassan mmeshindwa kuuliza maswali mazito yanayotesa taifa kwa miaka mitano mizima ambayo mwenye majibu ni Rais wa Nchi ya Tanzania? Mfano hata hili la kikatiba juu ya Wabunge waliopo bungeni bila kuwa na chama cha siasa...
Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha?
Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu.
Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC kwaniaba ya wahariri.
Mhariri umetoka mkoani unamuuliza Rais anauonaje Urais (mwandishi kweli)...
Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021
Updates:
Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la Wahariri
Tangu ulivyoingia madarakani hakuna redio iliyofungiwa, gazeti lililofungiwa, mtandao au...
Wajumbe.
Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani.
JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.