wahariri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
  2. Penguinelli Cactussini

    Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  4. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo

    Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo 1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, ameongea na wahariri wa vyombo vya habari vya Tanzania mchana wa leo, tarehe 25...
  5. T

    PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

    Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
  6. Chizi Maarifa

    Hawa wahariri hawajui ni kwanini Watanzania mliandamana. Je, hamuwezi watembelea kuwaeleza?

    Watanzania. Hawa WAHARIRI hawajui ni kwa nini mliandamana. Je hamwezi watembelea kuwaeleza? Wameridhika kulipiwa SGR na kupewa per diem huko Dodoma. Hawajui lolote kuhusu ninyi. Muwatenbelee kuwaeleza ninyi ni akina nani na kwa nini mliandamana.
  7. Jidu La Mabambasi

    Guardian, wahariri wako likizo, picha na caption haviendani!

    GUARDIAN NEWSPAPERS, Wahariri wako likizo. Hili ni gazeti la leo.
  8. tonicimmobility

    GE2025 Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Wakuu wa vyombo vya habari na wahariri waandamizi nchini Tanzania wamekutana leo oktoba 25, 2025 katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 29, 2025. Tukio hilo lilikuwa na dhumuni la kuwakabidhi...
  9. ACT Wazalendo

    GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  10. Roving Journalist

    Mafunzo Kwa Wahariri na Waandishi wa Habari Kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025, leo Agosti 4, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o Updates Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
  11. K

    Jukwaa la Wahariri Tanzania ingilieni hili, Wahariri wanadharirisha Waandishi wa Habari, watia nia wanawapuuza

    Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri. Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani na Rais. Cha ajabu Waandishi wa Habari tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa kwa ajili ya...
  12. K

    TEF Ingilieni hili, wahariri wanadharirisha waandishi wa Habari na Media zao. Watia nia wanatuma wenyewe Habari

    Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni wahariri. Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu Kwa wagombea wao, ubunge, udiwani na Rais. Cha ajabu Waandishi wa Habari Leo tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa Kwa ajili ya...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo akutana na Wahariri kueleza mwelekeo mpya wa sera ya nje

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na...
  14. Mindyou

    SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi?
  15. chiembe

    Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  16. A

    PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  17. Pascal Mayalla

    Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  18. Pascal Mayalla

    Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  19. Pascal Mayalla

    Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  20. R

    Tujadili kasoro za mkutano wa mbowe na Wahariri

    1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano 2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI...
Back
Top Bottom