wahalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  2. B

    'El Mencho' auawa huko Mexico. Ni bosi wa cartel aliyekuwa kiongozi wa kundi la wahalifu maarufu

    22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026 https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0 Nemesio...
  3. R

    Polisi Mwanza wakamata wahalifu 12 waliojificha mapangoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi. Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...
  4. M

    PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

    Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata. Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol. Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
  5. U

    Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  6. Genius Man

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwa lenyewe ni wahalifu namba moja

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwe lenyewe ni wahalifu namba moja
  7. MamaSamia2025

    Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Misime: Ukiona watu wanashambulia mifumo ya ulinzi ndiyo tabia ya wahalifu

    Akizungumza leo Agosti 21, 2025 katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema watu wanaoshambulia na kulikatisha tamaa Jeshi la Polisi ndio wahalifu.
  10. Z

    Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  11. Subira the princess

    GE2025 Ukiangalia video hii utagundua CCM imeundwa na genge la wahalifu kwa kiasi kikubwa

    Wasalaam, Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi! ==== Maneno haya yalitolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James...
  12. R

    Eswatini kuwarudisha wahalifu waliosafirishwa na Marekani

    Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji watano waliotolewa Marekani na kuwekwa katika vyumba maalum vya gereza, kufuatia makubaliano ya muda mrefu na utawala wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Wahamiaji hao ni raia wa Vietnam, Jamaica, Laos, Cuba na Yemen, ambao...
  13. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  14. Lord Denning

    Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  15. Fbn

    Somalia sheria ya kifo kwa wahalifu na magaidi imesaidia kuituliza somalia

    Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni. Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena. Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
  16. KisiwaChaJagwani

    Dada poa ni wahalifu? Na wanakamatwa kwa kosa gani ambalo linajulikana kisheria?

    Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
  17. Genius Man

    PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  18. Just Pray

    Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  19. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  20. Roving Journalist

    RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
Back
Top Bottom