wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  2. onemediaonline

    Wafungwa 142 kujadiliwa na Bodi ya Taifa ya Parole mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki, leo Februari 12, 2026, amefungua rasmi kikao cha bodi hiyo kitakachofanyika kwa siku mbili, kuanzia Februari 12 hadi 13, 2026, katika ukumbi wa Panama Garden Resort, mkoani Kilimanjaro. Katika kikao hicho, jumla ya majalada...
  3. Dalton elijah

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  4. Idugunde

    Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  5. Troll JF

    FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  6. Waufukweni

    Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  7. Analogia Malenga

    PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  8. Echolima1

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  9. Sky Eclat

    Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

    Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
  10. Roving Journalist

    Bashungwa atunuku Vyeti Wafungwa 170 waliohitimu Mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
  11. Mzee wa Code

    Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  12. Damaso

    Kwanini Serikali haiwajali wanafunzi Kama inavyowajali wafungwa?

    Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi yao kupata fursa ya elimu. Hili ni jambo jema kwa kuwa hata mfungwa anastahili haki zake za...
  13. Ritz

    Hamas Kuwaachilia Mateka 9 kwa Mabadilishano ya wafungwa 300 wa Palestina kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko Gaza na kuachiliwa kwa wafungwa 300 wa Kipalestina. Mkataba uliopendekezwa pia utahitaji Vikosi vya...
  14. Webabu

    Badala ya kuwapiga Houth,Marekani yauwa mahabusu wengi wa kiafrika huko mpakani na Saudia

    Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa. Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa kufa ambapo gereza hilo lilikuwa likiwashikilia wahamiaja hao zaidi ya mia moja. Dozens killed in US...
  15. Waufukweni

    Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

    Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobakia baada ya kupewa msamaha. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya...
  16. Yoda

    Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  17. JanguKamaJangu

    Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  18. Waufukweni

    Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  19. Chance ndoto

    Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  20. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela, 280 vifungo mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
Back
Top Bottom