Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa?
Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi?
Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence)
1️⃣ William Ruto
Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya.
Alishtakiwa ICC mwaka 2011.
Kesi ilifutwa 2016 kwa...
Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi.
Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi wakipiga na kuwatesa wafuasi wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine.
Hivi karibuni Yousra Elbagir alimfanyia...
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee.
Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno!
Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
Kundi kubwa la wafuasi wa mgombea Urais wa Uganda kupitia chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu (Bobi Wine) wamemiminika nje ya hoteli aliyofikia katika mji wa Busia asubuhi ya leo huku mgombea huyo akijitokeza roshani mwa jengo hilo na kuwasalimu.
Kupitia chapisho...
Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu.
Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu.
Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa.
Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana,
-Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana kubwa ya kisiasa, kiroho, na kijamii.
Baadhi ya jamii zilizokuwa na desturi hii ni pamoja na Misri...
Hamjambo!
Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu.
Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili;
1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.
Ongeza orodha
Hii ni mbinu adhimu sana, navisihi vyombo vya ulinzi na usalama viitumie kusambaratisha wahuni. Najua kuna watu wao huko kwenye vyombo, lakini najua upo uwezekano wa kutekeleza hili ili taifa litoke hapa lilipo na kusonga mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.