wafuasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  2. Daby

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je maandamano ya wafuasi wa Chadema X Kwa Trump na Rubio yatakuwa na impacts Gani?

    Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media. Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X. Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election. Lengo...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu na wanasiasa mtandaoni wa kerwa na no reforms no ELECTION huku wengine wakipoteza wafuasi kwa kupinga kampeni hiyo

    Baadhi ya watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania wameelezea kukerwa na maoni ya wafuasi wa kampeni ya “No Reform, No Election” yanayoachwa kwenye machapisho yao binafsi. Miongoni mwao ni Wema Sepetu — Miss Tanzania 2006, msanii wa filamu, na mfuasi wa chama tawala CCM — ambaye...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Gwajima wataendelea kukaa hapo kanisani mpaka asubuhi, basi hakuna haja ya kuendelea kuwa na kamanda wa FFU Dar

    Duniani kote, hata Marekani, unatii kwanza amri ya mamlaka, kama huridhiki nayo kuna hatua za kuchukua. Dar Ina kamanda wa FFU, kama anashundwa kudhibiti kagenge ka watu 200,na haombi msaada mikoa jirani. Aachie kiti hicho apewe anayestahili. Ni hawahawa walienda kyimba central police enzi ya...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Gwajima, Wafuasi wa Ufufuo wa Uzima Msiwe na Wasiwasi, Hoja za Kulifungia Hazina Locus Stand, Serikali inapigwa Certiorari na Mandamus, linafunguliwa!

    Wanabodi Nimesoma bandiko hili humu jf News Alert: - Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi Bandiko hili ni faraja kwa Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, na wapenzi, wafuasi wa kanisa lake la Ufufuo wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Tarehe 2 juni wafuasi wa CCM,CHAUMMA,ACT,CUF N.K Waruhusiwe kwenda kwenye kesi ya uhaini

    Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
  9. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA wanasikika mitandaoni wakimdhihaki mtu. Jisaidie, jiokoe, wewe si mwanasheria? Jitetee

    Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki. Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana mpango ona sasa. Eti wanategemea kanisa liwasemee, ubalozi wa nje uwasemee. Wameanza upuuzi wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lissu mnacho mfanyia shujaa wenu sio vizuri

    Hero wenu Lissu amekamatwa na nyinyi mmekaa Kimya hamfanyi chochote. Please ingieni barabarani Lissu aachiwe. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji,maaskofu,manabii,mitume,nk wa Kiafrika ktk ukristo ni MATAJIRI na wafuasi wao wa Kiafrika ni MASKINI?

    au Mungu hawajui hao waumini bali wanajipendekeza kwa yesu hawajui hao waumini??
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama mmeshindwa kupambana wafuasi wenu warudishwe au wasitekwe kabisa hizi ngonjera za kuizia uchaguzi achaneni nazo CHADEMA

    Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo. Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini mnakuja na blah blah za kuzuia uchaguzi ujue huu ni ujinga mkubwa. Hivi siku huyo Soka kwa mfano kama...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

    Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa uhai wa vyama wanachama kuwa wafuasi wa mtu.

    Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani lakini Ccm wao baadhi kujifanya wafuasi wa mtu ni kujipendekeza ili wapate teuzi na chakula na Ccm...
Back
Top Bottom