wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini wawili wafariki kwa kuangukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu. Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  3. JamiiForums Tanzania Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  4. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watoto 316 waugua surua, watatu wafariki dunia

    Watoto watatu wamefariki dunia na wengine 316 wamethibitika kuugua ugonjwa wa surua katika kipindi cha mwezi mmoja visiwani Zanzibar. Wilaya ya Magharibi B Unguja inaongoza ikiwa na vifo viwili na zaidi ya watoto 200 wamebainika kuwa na surua. Wilaya ya Magharibi A ina wagonjwa zaidi ya 70 na...
  6. JamiiForums Tanzania Pakistan: Watu takriban 1,033 wafariki kwa mafuriko, 1,527 wajeruhiwa

    Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya mwezi Juni Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Majanga nchini humo (NDMA) imeongeza kuwa watu 119...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  8. JamiiForums Tanzania Watu 16 wafariki kwenye ajali ya Lori na Basi Urusi

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Urusi imesema takriban watu 16 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Lori kugongana na Basi dogo lililokuwa limesimama katika eneo la Ulyanovsk leo Jumapili Kwa mujibu wa mashahidi kuhusu chanzo cha ajali wamesema dereva wa Lori alishindwa kupunguza mwendo...
  9. JamiiForums Tanzania Watu 44 wafariki kwa Kipindupindu Malawi

    Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073. Licha ya kampeni ya Chanjo ya nchi nzima iliyoanza mwezi Mei bado maambukizi yamezidi kuongezeka kufikia wilaya 10 kutoka nane...
  10. JamiiForums Tanzania Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi. Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
  11. JamiiForums Tanzania China: Watu 16 wafariki katika mafuriko, 36 hawajulikani walipo

    Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China. Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo yalifanya mto ujae maji. Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye idadi zaidi yaa Watu 6,000 na zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

    Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
  13. JamiiForums Tanzania Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
  15. JamiiForums Tanzania Wakimbizi 17 wa Haiti wafariki baada ya mashua kuzama

    Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo. Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani kupitia Bahamas, sababu ya kukimbia Nchi yao zikitajwa kuwa ni umasikini na vurugu za wahalifu. Kikosi...
  16. JamiiForums Tanzania Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
  17. JamiiForums Tanzania Watu 20 wa Ukoo mmoja wafariki kwa ajali ya Mashua Pakistan

    Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa mizigo ilikuwa ikielekea katika harusi ya kifamilia ilipopinduka katika Mto Indus katika wilaya ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021. Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu kadhaa wafariki kwa njaa Uganda

    Watu kadhaa wameripotiwa kufariki Dunia Kaskazini Mashariki Nchini Uganda kutokana na kukabiliwa na njaa licha ya kuwa idadi kamili haijatajwa. Zaidi ya watu laki tano katika maeneo ya Karamoja wanakabilikiwa na hali ngumu ya kimaisha ikiwemo njaa. Moja ya sababu kubwa ya njaa ni ukame...
  20. JamiiForums Tanzania Watatu wafariki kwa kufukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wa kichimba madini ya dhahabu katika machimbo ya Nyamatagata wilayani Geita mkoani Geita. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 15, 2022, Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…